

Lugha Nyingine
Mkutano wa akili bandia wa kimataifa wa mwaka 2021 wafanyika, AI yabadilisha maisha
(2)
Tarehe 8, Julai, Mkutano wa akili bandia wa kimataifa wa mwaka 2021 (WAIC) ulifunguliwa kwenye Jumba la maonyesho la kimataifa la Shanghai. Kwenye ufunguzi wa mkutano, wataalam wa sekta husika na wajumbe wa kampuni wengi walitoa hotuba yenye mada maalumu, kuhusu maunganiko ya kina ya matokeo ya uvumbuzi wa akili bandia na sekta mbalimbali, na matumizi yake kihalisi, wakieleza mawazo yao ya kutupia macho mbele kunufaika pamoja na maendeleo ya sekta hiyo yenye ubora wa juu.
Habari zilisema, mada ya mkutano wa mwaka huu ni “akili yashirikisha dunia, na akili za watu wote zajenga mafanikio”, lengo ya mkutano ni kukusanya matokeo mapya na mawazo mapya kuhusu maendeleo ya akili bandia ya kimataifa, ili kusanifu ramani mpya ya kufanya ushirikiano katika sekta ya akili bandia ya dunia nzima, kutia nguvu mpya ya uhai kwa maendeleo mazuri ya akili bandia ya China, na kuongeza uwezo mpya kwa mabadiliko ya kidigitali ya mji wa Shanghai.
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma