Putin awasili Shenzhen, China kuhudhuria mkutano wa APEC

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 18, 2026

Rais wa Russia Vladimir Putin akiwasili Shenzhen mkoani Guangdong, kusini mwa China, tarehe 18 Novemba 2026, kuhudhuria Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia-Pasifiki (APEC). (Xinhua/Zhai Jianlan)

SHENZHEN - Rais wa Russia Vladimir Putin amewasili Shenzhen mkoani Guangdong kusini mwa China leo Jumatano kuhudhuria Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia-Pasifiki (APEC), ambao utafanyika kuanzia leo tarehe 18 hadi kesho tarehe 19.

Kwenye uwanja wa ndege, Putin alikaribishwa na Cai Qi, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ambaye pia ni katibu wa ofisi ya Sekretarieti ya Kamati Kuu ya CPC.

Rais wa Russia Vladimir Putin akiwasili Shenzhen mkoani Guangdong, kusini mwa China, tarehe 18 Novemba 2026, kuhudhuria Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia-Pasifiki (APEC). (Xinhua/Zhai Jianlan)

Rais wa Russia Vladimir Putin akiwasili Shenzhen mkoani Guangdong, kusini mwa China, tarehe 18 Novemba 2026, kuhudhuria Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia-Pasifiki (APEC). (Xinhua/Zhai Jianlan)

Rais wa Russia Vladimir Putin akiwasili Shenzhen mkoani Guangdong, kusini mwa China, tarehe 18 Novemba 2026, kuhudhuria Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia-Pasifiki (APEC). (Xinhua/Zhai Jianlan)

Rais wa Russia Vladimir Putin akiwasili Shenzhen mkoani Guangdong, kusini mwa China, tarehe 18 Novemba 2026, kuhudhuria Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia-Pasifiki (APEC). (Xinhua/Zhai Jianlan)

Rais wa Russia Vladimir Putin akiwasili Shenzhen mkoani Guangdong, kusini mwa China, tarehe 18 Novemba 2026, kuhudhuria Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia-Pasifiki (APEC). (Xinhua/Zhai Jianlan)

Rais wa Russia Vladimir Putin akiwasili Shenzhen mkoani Guangdong, kusini mwa China, tarehe 18 Novemba 2026, kuhudhuria Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia-Pasifiki (APEC). (Xinhua/Zhai Jianlan)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha