Lugha Nyingine
Waziri Mkuu wa Canada awasili Shenzhen, China kuhudhuria mkutano wa APEC

Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney akiwasili Shenzhen, mkoani Guangdong, kusini mwa China, tarehe 16 Novemba 2026, kuhudhuria Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia-Pasifiki (APEC). (Xinhua/Xin Yuewei)
SHENZHEN - Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney amewasili Shenzhen mkoani Guangdong, kusini mwa China jana Jumatatu kuhudhuria Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia-Pasifiki (APEC), uliopangwa kufanyika tarehe 18-19 Novemba.

Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney akiwasili Shenzhen, mkoani Guangdong, kusini mwa China, tarehe 16 Novemba 2026, kuhudhuria Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia-Pasifiki (APEC). (Xinhua/Xin Yuewei)

Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney akiwasili Shenzhen, mkoani Guangdong, kusini mwa China, tarehe 16 Novemba 2026, kuhudhuria Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia-Pasifiki (APEC). (Xinhua/Xin Yuewei)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



