Rais Xi kufanya mkutano wa China, Russia na Marekani na wenzake Putin na Trump mjini Shenzhen

(CRI Online) Novemba 16, 2026

Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetangaza kuwa Rais Xi Jinping wa China atafanya mkutano wa kilele wa viongozi wakuu wa nchi hizo tatu na wenzake wa Russia Vladimir Putin na wa Marekani Donald Trump tarehe 19 Novemba mjini Shenzhen, China.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha