"Simulizi za Mji" | Shannan, chimbuko la utamaduni wa Xizang: kurithisha utamaduni wa mamia na maelfu ya miaka, kufungua sura mpya ya zama zetu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 06, 2026

Shannan ni chimbuko la utamaduni wa Xizang, ambapo limelea ustaarabu wa Yarlung wa maelfu ya miaka. Katika eneo hilo kuna kasri la kwanza la kifalme la Xizang "Yumbulagang", shamba la kwanza la kilimo katika Xizang "Sare Sotang", na pia hekalu la kwanza la Xizang "Samye"  ... Je, eneo hilo la "chimbuko la Xizang" kwa jumla linaweza kuibukia aina ngapi za viwanda kwenye uwanda wa juu ?

Kipindi cha "Simulizi za Mji" kuhusu Shannan, Xizang, kitaoneshwa hivi karibuni. Tafadhali fuata kamera zetu kuingia kwenye eneo la Shannan, kushuhudia maisha ya kawaida ya watu wa Yarlung yenye historia ya maelfu ya miaka, na kuona sura mpya ya uwanda huo wa juu wa kale katika zama zetu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha