Shughuli za Safari za Jangwani kwa Magari Binafsi Yaanzishwa Zhongwei, Ningxia, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 20, 2026
Shughuli za Safari za Jangwani kwa Magari Binafsi Yaanzishwa Zhongwei, Ningxia, China
Tarehe 17 Oktoba 2026, picha zilizopigwa kwa droni zinaonyesha magari yamekusanyika katika Eneo la Kivutio cha Utalii la Shapotou la mji wa Zhongwei katika Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia. (Xinhua/Wang Peng)

Siku hiyo, hafla ya kuanzishwa ilifanyika katika Eneo la Kivutio cha Utalii la Shapotou ili kuzindua shughuli ya kuendesha magari kufanya safari za jangwani.

Shughuli hiyo ilivutia watalii zaidi ya 1,000 kushiriki na waliendesha magari yao binafsi zaidi ya 500 kusafiri jangwani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha