Kutoka Golog hadi Beijing: mwanafunzi wa kwanza wa shule yake wa Chuo Kikuu cha "Mradi 985"

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 15, 2026

Tsering Dolkar ni mwanafunzi wa kwanza kutoka Shule ya Sekondari ya Juu ya Kabila ya Golog Xining kufanikiwa kujiunga na chuo kikuu cha "Mradi 985", moja ya vyuo vikuu bora zaidi nchini China. Mwaka 2023, alidahiliwa katika Chuo Kikuu cha Minzu cha China kilichopo Beijing. Nyuma ya mafanikio yake kuna azma isiyokoma ya timu ya usaidizi wa elimu ya Shanghai inayouunga mkono Mkoa wa Qinghai. Kutoka Golog hadi Beijing, anasema, "Elimu ni muhimu sana tu."

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha