Kufanya mtihani wa gaokao chini ya milima iliyofunikwa na theluji

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 15, 2026

Nani ameshawahi kufanya mtihani wa gaokao, mtihani wa kitaifa wa China wa kujiunga na vyuo, kwenye eneo katika mwinuko wa mita 4,000?

Eneo pekee la kufanyia mtihani huo katika Eneo Linalojiendesha la Watibeti la Golog, katika Mkoa wa Qinghai kaskazini-magharibi mwa China, liko karibu kabisa chini ya milima iliyofunikwa na theluji. Wiki moja kabla ya mtihani huo, walimu kutoka Shule ya Sekondari ya Juu ya Kabila ya Golog Xining walisafirisha wanafunzi zaidi ya 100 wa mwaka wa mwisho wa shule hiyo ya sekondari ya juu kwa basi kutoka Xining kuelekea eneo hilo.

Wakiwa wamebeba uhimilivu na ukubwa mpana wa uwanda huo wa juu, walianza safari yao kutoka chini ya milima hiyo kwa ajili ya safari yao inayofuata kuvuka milima na bahari.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha