Imethibitishwa na Guinness! 'Farasi' huyu hakika anazalisha umeme

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 10, 2026

Ndani kabisa kwenye Jangwa la Kubuqi katika eneo la Dalad Banner, Ordos, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani kaskazini mwa China, "farasi" mkubwa anayeonekana akikimbia, aliyeundwa kwa kila kitu na paneli za kuzalisha umeme kwa jua; anashikilia Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa picha kubwa zaidi iliyotengenezwa kwa paneli za kuzalisha umeme kwa jua. Farasi huyu si kivutio cha macho pekee—bali anazalisha umeme halisi, akisafirisha nishati safi kutoka jangwani hadi kwenye nyumba nyingi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha