Utalii wa vijijini waendelea kwa hali motomoto wakati wa mapumziko ya Sikukuu ya Taifa nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 07, 2026

Watalii wengi wametembelea maeneo ya vijijini kote nchini China wakati wa mapumziko ya Sikukuu ya Taifa.

Watalii wakitembelea daraja la minyororo ya chuma katika Wilaya ya Maotai ya Mji wa Renhuai, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Oktoba 5, 2026. Watalii wengi wamekuwa wakitembelea maeneo ya vijijini kote nchini China wakati wa mapumziko ya Sikukuu ya Taifa. (Picha na Chen Yong/Xinhua)

Watalii wakitembelea eneo la kivutio cha watalii la Zhagana katika Wilaya ya Tewo ya Eneo linalojiendesha la Gannan, kaskazini-magharibi mwa China, Oktoba 5, 2026. Watalii wengi wamekuwa wakitembelea maeneo ya vijijini kote nchini China wakati wa mapumziko ya Sikukuu ya Taifa. (Picha na Wang Kexian/Xinhua)

Watoto wakikimbia katikati ya maua katika Kijiji cha Longshanhu, Wilaya ya Baitu ya Mji wa Jurong, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Oktoba 5, 2026. Watalii wengi wamekuwa wakitembelea maeneo ya vijijini kote nchini China wakati wa mapumziko ya Sikukuu ya Taifa. (Picha na Zhong Xueman/Xinhua)

Watalii wakiendesha magari ya ATV huko Yueqing, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Oktoba 5, 2026. Watalii wengi wamekuwa wakitembelea maeneo ya vijijini kote nchini China wakati wa mapumziko ya Sikukuu ya Taifa. (Picha na Cai Kuanyuan/Xinhua)

Watalii wakicheza dansi pamoja na wanawake wenyeji wa kabila la Wayao katika Wilaya ya Longsheng ya Mji wa Guilin, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, Oktoba 5, 2026. Watalii wengi wamekuwa wakitembelea maeneo ya vijijini kote nchini China wakati wa mapumziko ya Sikukuu ya Taifa. (Picha na Pan Zhixiang/Xinhua)

Picha iliyopigwa Oktoba 5, 2026 inaonyesha watalii wakitembelea wilaya ya kale huko Zhenyuan, Eneo linalojiendesha la Makabila ya Wamiao na Wadong la Qiandongnan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China. Watalii wengi wamekuwa wakitembelea maeneo ya vijijini kote nchini China wakati wa mapumziko ya Sikukuu ya Taifa. (Picha na Tai Shengzhi/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha