Lugha Nyingine
Rais Xi Jinping kuelekea India kuhudhuria Mkutano wa 18 wa Viongozi wa Nchi za BRICS
(CRI Online) Septemba 11, 2026
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China amesema, kutokana na mwaliko wa Waziri Mkuu wa India Narendra Modi, Rais Xi Jinping wa China ataenda New Delhi nchini India kuhudhuria Mkutano wa 18 wa Viongozi wa Nchi za BRICS kuanzia tarehe 12 hadi 13 Septemba.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



