Washirika kwenye safari ya Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 31, 2026

Mwaka huu ni maadhimisho ya miaka 25 tangu Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) ianzishwe. Miaka hiyo 25 pia ilishuhudia ukuaji wa kizazi cha vijana.

Vijana kutoka nchi mbalimbali za "familia ya SCO", wanaoongea lugha tofauti na kutoka tamaduni tofauti, wanaunganishwa kupitia SCO na wamekuwa washirika wanaochangia mustakabali wa pamoja.

Wanaamini kuwa, kupitia kufunzana na ushirikiano wa kiuvumbuzi kizazi hicho cha vijana kitachangia hekima na nguvu uhai zao katika kujenga jumuiya ya SCO iliyo karibu zaidi yenye mustakabali wa pamoja.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha