Lugha Nyingine
ChinaVumbuzi | Meli ya "Fengsheng" ya kusafirisha na kufunga mashine za kuzalisha umeme kwa nishati ya upopo yaanza safari Qidong baada ya kukabidhiwa
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 22, 2026
![]() |
| Picha iliyopigwa Julai 21, 2026 ikionyesha Meli ya "Fengsheng" ya NG20000 ya kusafirisha na kufunga mashine za kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo ikikabidhiwa rasmi na kuanza safari kutoka Qidong, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China. (Picha na Xu Congjun/Xinhua) |
Meli iliyoundwa kimahsusi na Kampuni ya COSCO Shipping Offshore ya Qidong, kwa ajili ya kampuni ya usafirishaji ya Denmark imekabidhiwa rasmi na kuanza safari jana Jumanne.
Meli hiyo ina sitaha kubwa sana ya mita za mraba zaidi ya 5,600, uwezo wake wa kubeba mzigo umefikia tani 17,600, na kreni kuu yake inaweza kuinua mzigo tani zaidi ya 3,300. Ina uwezo wa kufunga mashine za kuzalisha umeme wa megawati 20 na zaidi kwa nishati ya upepo.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




