Manowari za kikosi cha majini cha PLA za Nanning na Hengyang zaondoka Hong Kong

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 07, 2026

Manowari ya makombora ya kuongozwa ya Nanning ikiondoka kutoka kwenye gati la kituo cha kikosi cha majini cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) kilichoko Hong Kong kwenye Kisiwa cha Stonecutters, Hong Kong, kusini mwa China, Julai 6, 2026. (Picha na Yi Ding/Xinhua)

HONG KONG – Kikosi cha Manowari za Jeshi la Majini la Ukombozi wa Umma la China kinachoundwa na manowari ya makombora ya kuongozwa ya Nanning na manowari ya makombora ya kuongozwa ya Hengyang, kimeondoka kutoka Mkoa wa Utawala Maalum wa Hong Kong (HKSAR) jana Jumatatu, kikikamilisha ziara ya bandarini ya siku tano iliyohusisha shughuli za kufunguliwa kwa umma na shughuli za mawasiliano ya kitamaduni.

Hafla ya kuaga ilifanyika Jumatatu asubuhi kwenye gati la kituo cha kikosi cha majini cha PLA kilichoko Hong Kong katika Kisiwa cha Stonecutters. Mabaharia wa manowari hizo waliupungia mkono wa kwaheri umati wa watu uliokuwa ufukweni, halafu manowari za Hengyang na Nanning kuondoka moja baada ya nyingine kutoka kwenye gati.

Wakati kikosi hicho cha manowari kilipokuwa kikipita kwenye Bandari ya Victoria, wakazi wa Hong Kong walijipanga kwenye ufukwe kwa hiari ili kutazama manowari zikiondoka.

Shughuli ya manowari kufunguliwa kwa umma iliwawezesha watembeleaji wajue moja kwa moja kuhusu maendeleo ya ulinzi wa taifa wa China na mambo ya kisasa ya jeshi katika zama mpya. Shughuli mbalimbali za kujionea na kujaribu mambo ya jeshi, uonyeshaji wa mafunzo ya mapigano na maonyesho ya michezo ya sanaa zimewavutia washiriki zaidi ya 30,000 kutoka Mikoa ya Utawala Maalum wa Hong Kong na Macao na kuchochea fahari ya taifa miongoni mwa wakazi wa huko.

Hii ni mara ya kwanza kwa manowari hizo za Nanning na Hengyang kutembelea mkoa wa Hong Kong.

Manowari ya makombora ya kuongozwa, Hengyang ikitoka kwenye gati la kituo cha kikosi cha majini cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) kilichoko Hong Kong katika Kisiwa cha Stonecutters, kusini mwa China, Julai 6, 2026. (Picha na Liang Jiepei/Xinhua)

Manowari ya makombora ya kuongozwa ya Nanning ikitoka kwenye Bandari ya Victoria, Hong Kong, kusini mwa China, Julai 6, 2026. (Picha na Wang Shen/Xinhua)

Manowari ya makombora ya kuongozwa ya Hengyang ikitoka kwenye Bandari ya Victoria, Hong Kong, kusini mwa China, Julai 6, 2026. (Picha na Wang Shen/Xinhua)

Mabaharia waliopanda manowari ya makombora ya kuongozwa ya Hengyang wakipunga mkono wa kwaheri wakati wakitoka kwenye gati la kituo cha kikosi cha majini cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) kilichoko Hong Kong kwenye Kisiwa cha Stonecutters, kusini mwa China, Julai 6, 2026. (Picha na Liang Jiepei/Xinhua)

Manowari ya makombora ya kuongozwa ya Nanning ikiondoka kutoka kwenye gati la kituo cha kikosi cha majini cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) kilichoko Hong Kong kwenye Kisiwa cha Stonecutters, kusini mwa China, Julai 6, 2026. (Picha na Liang Jiepei/Xinhua)

Manowari ya makombora ya kuongozwa, Nanning ikiondoka kutoka kwenye gati la kituo cha kikosi cha majini cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) kilichoko Hong Kong kwenye Kisiwa cha Stonecutters, kusini mwa China, Julai 6, 2026. (Picha na Yi Ding/Xinhua)

Manowari ya makombora ya kuongozwa ya Hengyang ikiondoka kutoka kwenye gati la kituo cha kikosi cha majini cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) kilichoko Hong Kong kwenye Kisiwa cha Stonecutters, kusini mwa China, Julai 6, 2026. (Picha na Yi Ding/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha