Lugha Nyingine
Rais wa Marekani asema nchi hiyo na Iran huenda zikafanya mazungumzo ya moja kwa moja wikiendi hii
Rais Donald Trump wa Marekani jana amesema, Marekani huenda itafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Iran wikiendi hii, na kama nchi hizo mbili zikifikia makubaliano ya amani, atazingatia kwenda Pakistan na kuyasaini makubaliano.
Rais Trump amesema makubaliano ya amani yatailetea Marekani "Mafuta bila malipo na Mlango wa Hormuz". Vilevile amesisitiza kuwa Iran haipaswi kuwa na silaha za nyukilia, na Iran imekubali kukabidhi uranim iliyosafishwa kwa Marekani.

Ndege wa Kwarara waingia msimu wa kuzaliana huko Shaanxi, China

Eneo la kaboni-sifuri katika Mkoa wa Hainan laonyesha vitendo vya kijani vya China

Vifaa vya kisasa vya usafi vyatoa huduma kwenye Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Boao la Asia 2026

Eneo Jipya la Xiong'an la China labadilika kuwa mji wenye nguvu hai kutoka mpango
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma