Lugha Nyingine
Watu 7 wafariki kufuatia maporomoko ya udongo mashariki mwa DRC
Watu saba wamefariki na wengine hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya udongo kutokea jana Jumanne katika eneo la uchimbaji madini la Rubaya, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Machimbo hayo ya Rubaya yaliyoko Jimbo la Kivu Kaskazini ni chanzo muhimu cha madini ya coltan duniani na tangu mwaka 2024, yamekuwa yakidhibitiwa na waasi wa kundi la M23.
Mwezi Januari mwaka huu, wachimba madini 200 walifariki baada ya mashimo kadhaa ya migodi kuporomoka kwenye machimbo ya coltan ya Rubaya.

"Tamasha la Maolong" la kabila la Wayilao lasherehekewa kwa ngoma ya dragoni mkoani Guizhou, China

Mji mkongwe wa Wuzhen, China wazindua shughuli mbalimbali wakati wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China

Hong Kong Yasherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa Farasi wa China kwa Maonyesho ya Fataki

Ufunguzi ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina mwaka 2026
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma