Lugha Nyingine
Mkutano wa Kwanza wa Maofisa Waandamizi wa Mkutano wa APEC wa China 2026 wafunguliwa Guangzhou

Wajumbe wanaohudhuria kwenye Mkutano wa Kwanza wa Maofisa Waandamizi wa Mkutano wa Viongozi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia na Pasifiki (APEC) wa China 2026 wakipiga picha pamoja katika Mji wa Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China, Februari 10, 2026. (Xinhua/Deng Hua)
GUANGZHOU - Kikao cha ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Maofisa Waandamizi wa Mkutano wa Viongozi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia na Pasifiki (APEC) wa China 2026 kimefanyika Guangzhou Jumanne.

Picha hii iliyopigwa Februari 10, 2026 ikionyesha mwonekano wa nje ya ukumbi wa Mkutano wa Kwanza wa Maofisa Waandamizi wa Mkutano wa Viongozi wa APEC wa China 2026 katika Mji wa Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China. (Xinhua/Deng Hua)

people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma