Mamady Doumbouya aapishwa kuwa Rais wa Guinea

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 19, 2026

Rais mteule wa Guinea Mamady Doumbouya akionekana ndani ya gari la jeshi na kuwapungia mkono watu kwenye sherehe ya kuapishwa mjini Conakry, Guinea, Januari 17, 2026. (Xinhua/Zhang Jian)

CONAKRY - Mamady Doumbouya ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Guinea kwa muda wa miaka saba kutokana na kanuni iliyowekwa kwenye Katiba mpya ya nchi hiyo.

Hafla hiyo ya kuapishwa kwa Doumbouya juzi Jumamosi imefanyika baada ya kuchaguliwa kwake na kushika madaraka ya juu zaidi kwa kupata asilimia 86.72 ya kura zote halali zilizopigwa.

Fode Bangoura, Jaji Mkuu wa Kwanza wa Mahakama Kuu ya nchi hiyo amesema Katiba ya Nchi inaweka kanuni za uwiano kati ya mamlaka ya mambo ya utawala, mamlaka ya mahakama na bunge la taifa, kanuni ambazo rais wa nchi ni lazima azifuate.

Baada ya kula kiapo, Rais Doumbouya aliwashukuru watu wa Guinea kwa imani waliyonayo kwake, akieleza kuwa, katika wakati wa muda wake wa madaraka, atawapa wanawake na vijana ufuatiliaji zaidi.

Pia amesisitiza dhamira yake ya kuheshimu Katiba ya Nchi, sheria na kanuni za Guinea, vilevile maamuzi ya mahakama. 

Rais mteule wa Guinea Mamady Doumbouya akitoa saluti kwa jeshi kwenye hafla ya kuapishwa mjini Conakry, Guinea, Januari 17, 2026. (Xinhua/Zhang Jian)

Wasanii wa Guinea wakicheza ngoma na kuimba nyimbo kwenye hafla ya kuapishwa rais mjini Conakry, Guinea, Januari 17, 2026. (Xinhua/Zhang Jian)

Majaji wa Mahakama Kuu ya Guinea wakishuhudia rais mteule Mamady Doumbouya akila kiapo kwenye hafla ya kuapishwa mjini Conakry, Guinea, Januari 17, 2026 (Xinhua/Zhang Jian)

Rais mteule wa Guinea Mamady Doumbouya akitoa hotuba kwenye hafla ya kuapishwa mjini Conakry, Guinea, Januari 17, 2026. (Xinhua/Zhang Jian)

Rais mteule wa Guinea Mamady Doumbouya (wa pili kushoto) akihudhuria hafla ya kuapishwa kwake pamoja na mkewe Lauriane Doumbouya (wa pili kulia) mjini Conakry, Guinea, Januari 17, 2026. (Xinhua/Zhang Jian)

Rais mteule wa Guinea Mamady Doumbouya (wa pili kushoto) akihudhuria hafla ya kuapishwa kwake pamoja na mkewe Lauriane Doumbouya (wa pili kulia) mjini Conakry, Guinea, Januari 17, 2026. (Xinhua/Zhang Jian)

Rais mteule wa Guinea Mamady Doumbouya akionekana ndani ya gari la jeshi na kuwapungia mkono watu kwenye sherehe ya kuapishwa mjini Conakry, Guinea, Januari 17, 2026. (Xinhua/Zhang Jian)

Rais mteule wa Guinea Mamady Doumbouya akionekana ndani ya gari la jeshi na kuwapungia mkono watu kwenye sherehe ya kuapishwa mjini Conakry, Guinea, Januari 17, 2026. (Xinhua/Zhang Jian)

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha