Lugha Nyingine
Kampuni za viwanda kutoka nchi 123 washirika wa Ukanda Mmoja, Njia Moja zashiriki katika CIIE
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2025
Maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yalifunguliwa Jumatano wiki iliyopita mjini Shanghai, mashariki mwa China na yamefikia mwisho leo Jumatatu, Novemba 10. Kwenye maonyesho hayo ya mwaka huu kampuni za viwanda kutoka nchi 123 washirika wa Ukanda Mmoja, Njia Moja zimeshiriki, ikiwa ni ongezeko la asilimia 23.1 ikilinganishwa na maonyesho ya mwaka uliopita.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




