

Lugha Nyingine
Rais Trump asema asilimia 19 ya ushuru itatozwa kwa bidhaa za Indonesia
Rais wa Marekani Donald Trump akitembea kuelekea Rose Garden ya White House mjini Washington, D.C., Marekani, tarehe 15 Julai 2025. (Xinhua/Hu Yousong)
NEW YORK - Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza jana Jumanne kwamba ushuru wa asilimia 19 utatozwa kwa bidhaa kutoka Indonesia wakati Marekani haitalipa chochote, akisema kuwa Marekani itaweza kuingia kwa pande zote kwenye soko la Indonesia, vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti.
Awali siku hiyo, Trump aliandika kwenye jukwaa lake la mtandao wa kijamii, Truth Social: "Makubaliano makubwa, kwa kila mmoja, nimeyafanya punde na Indonesia. Nimeshughulika moja kwa moja na Rais wao anayeheshimiwa sana."
Rais wa Marekani Donald Trump akizungumza na waandishi wa habari kwenye Ikulu ya White House mjini Washington, D.C., Marekani, tarehe 15 Julai 2025. (Xinhua/Hu Yousong)
Rais wa Marekani Donald Trump akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari kwenye Ikulu ya White House mjini Washington, D.C., Marekani, tarehe 15 Julai 2025. (Xinhua/Hu Yousong)
Wilaya ya Xuan’en yahimiza utalii wa usiku kando ya Mto Gongshui Katikati mwa China
Eneo la mtaa mkongwe lawa na ustawi kwa uvumbuzi wa kitamaduni na utalii mkoani Jiangxi, China
Mji wa Tianjin, China waharakisha ufungamanishaji wa uchumi wa kidijitali na uchumi halisi
Ardhioevu yalinda spishi za ndege kutoka kwenye uwanda hadi mijini
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma