

Lugha Nyingine
Mbio za roboti zenye umbo la binadamu! Mbio za kwanza za nusu marathoni duniani za roboti zenye umbo la binadamu zafanyika Beijing, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 21, 2025
Mbio za Nusu Marathoni za Beijing Yizhuang Mwaka 2025 na mbio za nusu marathoni za roboti binadamu za kwanza duniani zimefanyika katika eneo la Yizhuang la Beijing, Mji Mkuu wa China, Jumamosi, Aprili 19 ambazo ni mbio za kwanza za nusu marathon duniani ambapo binadamu na roboti zenye umbo la binadamu kwa pamoja wamekimbia bega kwa bega. Wakimbiaji wasio wataaluma na roboti zenye umbo la binadamu zaidi ya 9,000 kutoka kampuni karibu 20 za roboti wameshiriki katika mbio hizo za kilomita 21.0975 (maili 13.1) "mbio za kundi la roboti zenye umbo la binadamu."
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma