Msichana Mrusi ageuka "Mrembo wa Maua ya Peoni" na akumbana na Uzuri wa Mji wa Heze, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 15, 2025

Tamasha la Maua ya Peoni la Heze 2025 lilifunguliwa mjini Heze, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, tarehe 8 Aprili. Tamasha hilo limegawanyika katika matukio makuu mawili; Kongamano la Dunia la Maua ya Peoni na Tamasha la 34 la Utalii wa Kitamaduni wa Maua ya Peoni, ambalo litadumu kwa mwezi mmoja. Kwenye tukio hilo, Elena – msichana Mrusi – ametembelea Bustani ya Maua ya Peoni ya Caozhou, akiwa amevalia Mavazi ya Hanfu, na maua kichwani, na kuzunguka katikati ya maua kama "Mrembo wa Maua ya Peoni" anayetembea kutoka nje ya mchoro wa kale. Karibu na fuatilia nyayo za Elena na jionee uzuri wa Heze ——"Mji Mkuu wa Maua ya Peoni wa China".

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha