Rais Xi kufanya ziara nchini Vietnam, Malaysia na Cambodia

(CRI Online) April 14, 2025

Rais Xi Jinping wa China atafanya ziara za kitaifa nchini Vietnam, Malaysia na Cambodia kuanzia tarehe 14 hadi 18, Aprili, kwa mujibu wa habari iliyochapishwa na Shirika la Xinhua.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha