Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Miji ya Pwani wa Muongo wa Bahari wafanyika Qingdao, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 27, 2025

Naibu Mratibu wa Mpango wa Muongo wa Bahari wa Umoja wa Mataifa Alison Clausen akizungumza kwenye Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Miji ya Pwani wa Mpango wa Muongo wa Bahari mjini Qingdao, Mkoani Shandong, Mashariki mwa China, Februari 26, 2025. (Xinhua/Li Ziheng)

Ukiwa umeandaliwa na Serikali ya Mji wa Qingdao kwa ushirikiano na Kamisheni ya Elimu ya Bahari kati ya serikali ya UNESCO (IOC-UNESCO), Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Miji ya Pwani wa Mpango wa Muongo wa Bahari wa Umoja wa Mataifa wenye kaulimbiu ya “Bahari Bora, Miji Bora” umefanyika mjini Qingdao, Mkoani Shandong, Mashariki mwa China jana Jumatano ili kuwezesha mawasiliano ya maarifa na uzoefu juu ya uchumi wa bluu, mabadiliko ya tabianchi, na suluhu juu ya msingi wa sayansi kwa maendeleo endelevu ya miji ya pwani.

Picha hii iliyopigwa Februari 26, 2025 ikionyesha  Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Miji ya Pwani wa Mpango wa Muongo wa Bahari mjini Qingdao, Mkoani Shandong, Mashariki mwa China. (Xinhua/Li Ziheng)

Wageni wakihudhuria Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Miji ya Pwani wa Mpango wa Muongo wa Bahari mjini Qingdao, Mkoani Shandong, Mashariki mwa China, Februari 26, 2025. (Xinhua/Li Ziheng)

Chang Jingtian kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Beijing akizungumza kwenye Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Miji ya Pwani wa Mpango wa Muongo wa Bahari mjini Qingdao, Mkoani Shandong, Mashariki mwa China, Februari 26, 2025. (Xinhua/Li Ziheng)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha