Rais Xi Jinping ahimiza maendeleo mazuri ya sifa bora ya viwanda na makampuni binafsi vya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 18, 2025

Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) akihudhuria na kutoa hotuba muhimu kwenye kongamano kuhusu  viwanda na makampuni binafsi mjini Beijing, Februari 17, 2025. (Xinhua/Xie Huanchi)

BEIJING - Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), jana Jumatatu wakati akihudhuria kongamano kuhusu viwanda na makampuni binafsi vya China ametaka kufanya juhudi za kuhimiza maendeleo mazuri ya sifa bora ya viwanda na makampuni binafsi vya China katika hotuba yake muhimu baada ya kusikiliza maoni ya wajumbe wa wajasiriamali binafsi.

"Viwanda na makampuni binafsi vingefurahia matarajio mapana na uwezo mkubwa kwenye safari mpya katika zama mpya. Ni wakati mwafaka kwa viwanda na makampuni na wajasiriamali binafsi kutoa mchango mkubwa zaidi kwa uwezo wao,” Rais Xi amesema.

Amehimiza kufikia makubaliano na kuimarisha imani ili kuhimiza maendeleo mazuri na ya sifa bora ya viwanda na makampuni binafsi.

Li Qiang, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya CPC ambaye pia ni Waziri Mkuu wa China, na Ding Xuexiang, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya CPC ambaye pia ni naibu waziri mkuu wa China, pia walihudhuria kongamano hilo.

Wang Huning, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya CPC ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China, aliongoza kongamano hilo.

Ren Zhengfei wa Huawei, Wang Chuanfu wa BYD, Liu Yonghao wa New Hope, Yu Renrong wa Will Semiconductor, Wang Xingxing wa Unitree Robotics, na Lei Jun wa Xiaomi walitoa maoni na ushauri wao kuhusu maendeleo ya viwanda na makampuni binafsi.

Rais Xi amesema Chama na nchi zina dhamira ya kuimarisha na kuendeleza sekta ya umma bila kuyumbayumba, na kuhamasisha, kuunga mkono na kuongoza bila kuyumbayumba maendeleo ya sekta isiyo ya umma.

"Chama na nchi zinahakikisha uchumi wa umilikaji wa aina zote unapata fursa sawa za ufikiaji mambo ya uzalishaji kwa mujibu wa sheria, kufanya ushindani sokoni kwa usawa, na kulindwa kwa sheria kama pande sawa," amesema.

Safari mpya katika zama mpya imetoa fursa nyingi mpya na nafasi kubwa zaidi kwa maendeleo ya viwanda na makampuni binafsi, Rais Xi amesema, akisisitiza kwamba matatizo na changamoto zinazoikabili viwanda na makampuni binafsi zinaweza kutatuliwa na ametoa wito wa kujiamini katika siku zijazo.

Amehimiza kuondoa kabisa vizuizi kwa viwanda na makampuni binafsi kushiriki kwenye mambo ya uzalishaji kwa usawa na kufanya ushindani sokoni kwa haki. Pia amesisitiza kulinda kwa vitendo halisi haki na maslahi halali ya viwanda na makampuni na wajasiriamali binafsi kwa mujibu wa sheria.

Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) akihudhuria na kutoa hotuba kwenye kongamano kuhusu  viwanda na makampuni binafsi  mjini Beijing, Februari 17, 2025. (Xinhua/Xie Huanchi)

Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) akihudhuria na kutoa hotuba kwenye kongamano kuhusu  viwanda na makampuni binafsi, mjini Beijing, Februari 17, 2025. (Xinhua/Shen Hong)

Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) akihudhuria na kutoa hotuba kwenye kongamano kuhusu  viwanda na makampuni binafsi, mjini Beijing, Februari 17, 2025. (Zhan Zheng/Xinhua)

Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) akihudhuria na kutoa hotuba kwenye kongamano kuhusu viwanda na makampuni binafsi, mjini Beijing, Februari 17, 2025. (Xinhua/Wang Ye)

Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) akizungumza na wajumbe wa wajasiriamali binafsi mjini Beijing, Februari 17, 2025. (Xinhua/Li Xueren)

Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) akizungumza na wawakilishi wa wajasiriamali binafsi mjini Beijing, Februari 17, 2025. (Xinhua/Li Xueren)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha