Simulizi za Miji: 'Marafiki' mjini Nanning

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 10, 2025

Njoo ujiunge na safari! Kupitia uonaji wa wa Elena Davydova wa People's Daily Online, utazunguka kupita Mji wa Nanning, mji mkuu wa Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, na kuwa na safari isiyoweza kusahaulika. Shuhudia uchumi wa usiku unaostawi kila wakati, onja utamu wa furaha wa matunda ya nusu tropiki, na shuhudia maendeleo ya haraka ya biashara ya kuvuka mpaka ya Guangxi.

Kama bonasi maalum, sherehekea tukio la muunganisho na msawazisho wa kitamaduni ambayo ni shughuli ya pili ya Mwezi wa Utamaduni wa China-ASEAN (Nanning). Huko tunapata hata kukutana na watu kutoka nchi tofauti ambao kutoka kwenye mkutano huo wa kwanza wanahisi kama "marafiki wa zamani." Kaa chini na ufurahie sehemu hii ya kipindi maalum cha "Marafiki" mjini Nanning!

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha