Rais Xi Jinping wa China achapisha makala katika vyombo vya habari vya Brazil

(CRI Online) Novemba 18, 2024

Rais Xi Jinping wa China ambaye yuko mjini Rio de Janeiro kwa ziara ya kiserikali nchini Brazil na kuhudhuria Mkutano wa kilele wa 19 wa viongozi wa kundi la G20, amechapisha makala yenye kichwa cha "Urafiki Unaovuka Bahari Kubwa, Wakati Wafika Kufunga Safari Kuelekea Mustakabali wa Pamoja" jana Jumapili, tarehe 17 Novemba kwenye gazeti la Folha de S. Paulo la Brazil.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha