Rais Xi asisitiza China, Afrika daima ni jumuiya yenye mustakbali wa pamoja

(CRI Online) Septemba 02, 2024

Rais wa China Xi Jinping amesema China na Afrika zimekuwa jumuiya yenye mustakabali wa pamoja.

Akijibu barua kwa wasomi kutoka nchi 50 za Afrika, Rais Xi amebainisha kuwa, kutokana na hali yenye utatanishi na iliyochangamana duniani, China na Afrika zinahitaji kuimarisha mshikamano na ushirikiano zaidi kuliko ulivyokuwa hapo awali.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha