

Lugha Nyingine
Twende tukamtembelee jirani mwema wa China Kazakhstan
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 04, 2024
Zikiwa zimeunganishwa pamoja kwa milima na mito, na kuwa na maslahi ya pamoja, China na Kazakhstan ni majirani wema, marafiki wazuri na wenzi wazuri. Tangu maelfu ya miaka iliyopita, watu wa nchi hizo mbili wamekuwa na mawasiliano ya kirafiki, wakiandika kwa pamoja simulizi ya mwingiliano kati ya mashariki na magharibi kando ya Njia ya Kale ya Hariri. Julai mwaka huu, mkutano wa 24 wa Baraza la Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) unafanyika huko Astana, mji mkuu wa Kazakhstan.
Fuata mwandishi wetu wa habari kumtembelea jirani mwema wa China, Kazakhstan!
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma