

Lugha Nyingine
Kuwekeza Xinjiang, China: Nyuso zenye tabasamu zaonekana kwenye mtaa wa Kazanqi wenye historia zaidi ya miaka 100
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 21, 2024
Eneo la utalii la mila na desturi la Kanzanqi lililoko Mji wa Yining wa Mkoa wa Xinjiang ni eneo kubwa lenye vivutio vya asili vya utamaduni, ni dirisha la sura ya Mji wa Yili, na pia limeonesha hali halisi ya mafungamano ya kina ya makabila mengi mbalimbali. Kila uso wenye tabasamu unasimulia uhalisia na uzuri wa ardhi hii.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma