Video: Roboti za viwandani zaonesha mdundo wa kipekee

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 15, 2024

Roboti za viwandani zenye hakimiliki ya kujitegemea kikamilifu ya China zikifanyiwa majaribio kwenye karakana ya kampuni ya roboti ya SINSUN, mjini Shenyang, Mkoa wa Liaoning, China, Tarehe 14, Mei.

Bofya video, na utahisi mdundo pamoja na timu ya mahojiano ya "China Kusonga Mbele" ya People's Daily Online.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha