Lugha Nyingine
Shirika la Ndege la China Eastern lakabidhiwa Ndege ya pili ya C919
Tarehe 16 mwezi huu, Shirika la Ndege ya China Eastern lilikabidhiwa rasmi ndege ya pili ya C919, ambayo ni ndege kubwa ya abiria iliyozalishwa na China kwa kujitegemea. Siku hiyo saa nne asubuhi, ndege hiyo iliondoka Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Shanghai Pudong ikaelekea Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Shanghai Hongqiao, na kujiunga rasmi na kundi la ndege la shirika hilo. Kujiunga kwa ndege mpya hiyo ya C919 kunaashiria uendeshaji wa kibiashara wa C919 wa shirika la China Eastern unaharakishwa.

people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma