Chombo cha kusafirisha mizigo cha “Tianzhou-5” chaungana tena na kituo cha anga ya juu cha China

(CRI Online) Juni 07, 2023

Ofisi ya mradi wa kupeleka wanaanga katika anga za juu wa China leo imesema, chombo cha kusafirisha mizigo kwenye anga ya juu cha “Tianzhou-5”, leo kimeungana tena na kituo cha anga ya juu cha China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha