Jumba la Makumbusho ya Anga ya Juu la China lafunguliwa tena kwa umma baada ya ukarabati

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 25, 2023

Watembeleaji wa maonyesho wakitazama mifano ya roketi za kubeba za mfululizo za Long March kwenye Jumba la Makumbusho ya Anga ya Juu la China hapa Beijing, China, Aprili 24, 2023. Baada ya ukarabati wake, Jumba la Makumbusho ya Anga ya Juu la China limefunguliwa tena kwa umma wakati wa maadhimisho ya Siku ya Anga ya Juu ya China Jumatatu. Jumba hilo la makumbusho lina sehemu za maonyesho zinazojumuisha maudhui kama vile roketi za kubeba, satelaiti na vyombo vya kubeba binadamu kwenye anga ya juu, likiwaonyesha watembeleaji maendeleo ya tasnia ya anga ya juu ya China. (Xinhua/Ju Huanzong)

Watu wakitembelea Jumba la Makumbusho ya Anga ya Juu la China hapa Beijing, China, Aprili 24, 2023. (Xinhua/Zhang Chenlin)

Mtembeleaji wa maonyesho akitazama mfano wa chombo cha uchunguzi wa Mwezi cha Chang'e-5 kwenye Jumba la Makumbusho ya Anga ya Juu la China hapa Beijing, China, Aprili 24, 2023. (Xinhua/Ju Huanzong)

Mtembeleaji wa maonyesho akitazama parachuti kuu ya kapsuli ya kurejea duniani kwa wanaanga ya chombo cha anga ya juu cha Shenzhou-4 kwenye Jumba la Makumbusho ya Anga ya Juu la China hapa Beijing, China, Aprili 24, 2023. (Xinhua/Ju Huanzong)

Watu wakitembelea Jumba la Makumbusho ya Anga ya Juu la China hapa Beijing, China, Aprili 24, 2023. (Xinhua/Ju Huanzong)

Watu wakitembelea Jumba la Makumbusho ya Anga ya Juu la China hapa Beijing, China, Aprili 24, 2023. (Xinhua/Ju Huanzong)

Watembeleaji wa maonyesho wakitazama uigaji wa urushaji wa roketi ya kubeba ya Long March-5 kwenye Jumba la Makumbusho ya Anga ya Juu la China hapa Beijing, China, Aprili 24, 2023. (Xinhua/Zhang Chenlin)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha