Marekani yashambulia sehemu nyeti ya mtandao wa intaneti wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 28, 2022

(Picha inatoka CFP.)

Ripoti iliyotolewa na Chuo Kikuu cha Utafiti cha Kiumma kinachojulikana nchini China kuhusu uchunguzi wa mashambulizi kwenye mtandao wa intaneti ilisema, Idara ya Kitaifa ya Usalama ya Marekani (NSA) ilipata nafasi ya kupenya kwenye mtandao wa China na kufanya mahojiano na baadhi ya watu wenye hali nyeti, na kusababisha kuibiwa kwa baadhi ya data.

Magharibi cha China, ambacho kinajulikana kwa elimu yake na miradi yake ya teknolojia za usafiri wa ndege, safari kwenye anga ya juu na uhandisi wa teknolojia wa baharini, kilitangaza Juni 22 kuwa, hacker kutoka nchi za nje walituma baruapepe za mtego zenye virusi kwa walimu na wanafunzi wa chuo hicho, wakijaribu kuiba data zao na habari zao binafsi. Baadhi ya data zinazowahusu ziliibiwa na zikatumwa kwa makao makuu ya NSA kwa kupitia seva kadhaa.

Chini ya msaada wa wenzi wa ushirikiano wa nchi za Ulaya na Asia ya Kusini Mashariki, wachambuzi wamegundua kuwa NSA ikitumia teknolojia hiyo walishambulia mtandao wa nchi zaidi ya 80. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha