

Lugha Nyingine
Maonesho ya Mkutano wa Roboti wa Dunia wa Mwaka 2022 yafunguliwa Beijing
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 19, 2022
Mkutano wa Roboti wa Dunia wa Mwaka 2022 umekuwa ukifanyika kuanzia tarehe 18 hadi 21, Agosti katika Kituo cha Mikutano na Maonesho ya Kimataifa cha Yichuang cha Beijing. Maonesho ya mkutano huo yakifuata mtindo wa “Roboti+ Hali ya Matumizi” yanaonesha roboti za aina mbalimbali, kampuni zaidi ya 100 za ndani na nje zimeshiriki kwenye maonesho hayo na kuwaonesha watembeleaji roboti zao zaidi ya 500 zenye matumizi mapya kabisa katika kazi za matibabu, usambazaji wa vitu na kilimo.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma