Lugha Nyingine
China yafaulu kurusha satelaiti No.9 ya majaribio ya teknolojia ya mawasiliano ya habari
China imefaulu kurusha satelaiti No.9 ya majaribio ya teknolojia ya mawasiliano ya habari Saa 6:43 usiku wa Tarehe 30, Desemba mwaka huu kwa kutumia roketi ya Changzheng 3B kutoka kituo cha kurusha satelaiti cha Xichang. Satelaiti hiyo imeingia vizuri kwenye obiti iliyopangwa katika anga ya juu na kazi ya kurusha satelaiti imekamilika kwa mafanikio. (Picha imepigwa na Zheng Zhongli.)
China imefaulu kurusha satelaiti No.7 ya majaribio ya teknolojia ya mawasiliano ya habari Saa 6:43 usiku wa Tarehe 30, Desemba mwaka huu kwa kutumia roketi ya Changzheng 3B kutoka kituo cha kurusha satelaiti cha Xichang. Satelaiti hiyo imeingia vizuri kwenye obiti iliyopangwa katika anga ya juu na zoezi la kurusha satelaiti limekamilika kwa mafanikio.
Kazi hiyo ya kurusha satellite, ni safari ya 405 ya roketi za aina ya Changzheng .
China imefaulu kurusha satelaiti No.9 ya majaribio ya teknolojia ya mawasiliano ya habari Saa 6:43 usiku wa Tarehe 30, Desemba mwaka huu kwa kutumia roketi ya Changzheng 3B kutoka kituo cha kurusha satelaiti cha Xichang. Satelaiti hiyo imeingia vizuri kwenye obiti iliyopangwa katika anga ya juu na kazi ya kurusha satelaiti imekamilika kwa mafanikio. (Picha imepigwa na Zheng Zhongli.)
China imefaulu kurusha satelaiti No.9 ya majaribio ya teknolojia ya mawasiliano ya habari Saa 6:43 usiku wa Tarehe 30, Desemba mwaka huu kwa kutumia roketi ya Changzheng 3B kutoka kituo cha kurusha satelaiti cha Xichang. Satelaiti hiyo imeingia vizuri kwenye obiti iliyopangwa katika anga ya juu na kazi ya kurusha satelaiti imekamilika kwa mafanikio. (Picha imepigwa na Zheng Zhongli.)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma